tang'ana JF-Expert Member Joined Apr 3, 2015 Posts 11,931 Reaction score 15,849 May 30, 2020 #1 Kwema wakuu? Huu msemo wa "kwio ake" nauona hasa unatumiwa na vijana wa kike na kiume kutoka mkoa wa darisalama kwa sana, una maana gani?
Kwema wakuu? Huu msemo wa "kwio ake" nauona hasa unatumiwa na vijana wa kike na kiume kutoka mkoa wa darisalama kwa sana, una maana gani?
Hazchem plate JF-Expert Member Joined Feb 25, 2011 Posts 11,048 Reaction score 15,465 May 30, 2020 #2 Hata mimi sielewi kwa kweli. Sijui maana yake nn nipo kujifunza Au mnasemaje mods
Daudi Mchambuzi JF-Expert Member Joined Nov 25, 2010 Posts 62,197 Reaction score 128,160 May 31, 2020 #3 Unamaanisha kuku wake
Amos Chunji Member Joined Jul 15, 2019 Posts 22 Reaction score 8 May 31, 2020 #4 Daudi Mchambuzi said: Unamaanisha kuku wake Click to expand... [emoji1]
Kambi Official New Member Joined May 10, 2017 Posts 2 Reaction score 1 May 31, 2020 #5 Hayo ni mambo ya misimu jamani, kuna baadhi ya maneno hutokea kuvuma sana kwa wakati fulani na huja kupotea baadae, na ya kivuma sana hufanywa kuwa lugha rasmi, Sent using Jamii Forums mobile app
Hayo ni mambo ya misimu jamani, kuna baadhi ya maneno hutokea kuvuma sana kwa wakati fulani na huja kupotea baadae, na ya kivuma sana hufanywa kuwa lugha rasmi, Sent using Jamii Forums mobile app