Huu msemo wa Tafuta Hela . Unawahusu KE, na ME

God Fearing Person

JF-Expert Member
Joined
Apr 5, 2020
Posts
767
Reaction score
2,570
Mwanamke Jobless na mwenye harakati zake thamani Yao kwa Ground hazifanani.

So uwa nachekaga hawa KE wanavyojiwekaga Nyuma katika mapambano .

Demu mwenye Maisha mazuri hata Kama ana sura mbaya wanaume lazima wamuwinde .

So Demu mwenye mkwanja usitegemee thamani yake ikafanana na mtu ambaye Anaishi kwa kutegemea wanaume au kwa kudanga.

Naongea hivi maana hata Mimi Nina Dada zangu
Wanaotafta hela
Na wanaodanga au wanaotegemea wanaume
 
Ngoja waje wadangaji wakutolee mapovu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…