Ricky Blair
JF-Expert Member
- Mar 13, 2023
- 463
- 1,009
Huu msemo Waliosoma Cuba una maana gani kiutani coz nausikia tu na sielewi!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wasikuzingue.Maana yake ni kwamba,ni watu wanaojiona wanajua kila kitu duniani.Hadi ufugaji wa ndevu.Huu msemo Waliosoma Cuba una maana gani kiutani coz nausikia tu na sielewi!!!
MAWEED baada ya kula weed sasaNi msemo wa majuaji yan unaeza geuzia chupi halafu mtu akakuuliza,kwanini umegeuzia chupi we mjibu KWA WATU TULIOSOMA CUBA TUNAELEWA
Nilijua ni utani kumbe ni kweli bana 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Weed ni sehemu ya maisha mkuu hasa asubui hii,unakandamiza kete zako 4,unamalizia na konyagi ya jana usiku,unawasha tractor unaingia harakati
Ina uhusiano gani na kusoma Cuba??maana yake ni wale wanaoelewa mambo yalivyo au yanayoendelea haata kama yamefichwa au yamegeuzwa maana yake, so ni ile hali tu ya kuelewa jambo ambalo wengine hawawez kulielewa kwa haraka, ni kama kujua puzzle au kufungua code.... wana jf wote tumesoma kubwa ndio mana ni home of G.THINKERS
mfano, stori za mgao wa umeme ni visingizio kama sijui service, sijui ukame, sijui bwawa la nyerere, zote hz ni fix, tuliosoma cuba kama kina magu tunajua tatizo lilipo, na sio fix zinazobadilika kila siku.