Huu msitu wa amazoni ni kweli haya majoka yapo

Msitu wa Amazon una maajabu yake, lakini Artificial intelligence inaufanya uwe wa kutisha zaidi.

Nyoka hata wawe kwenye himaya Yao asili Yao ni kujificha,
Nyoka siyo kama Kunguru kwamba wajianike hadharani kama nepi za watoto Kwa wingi kiasi hicho.

Kwanza ujue nyoka Yuko kwenye Mnyororo wa chakula Cha ndege Fulani, wanayama nk.

1000% hiyo video ni AI
 
Nature ya mazingira inafanya wanyama kuwa wakubwa,wakali hata lishe.Hata ukiwa weka CCM wote kwenye msitu wote utakuwakuta wanafanana na Samia,mwaipopo na wasira.
Hahahahha,,Samia ana akiri sana sema ni mwanamke aliezungukwa na mashetani na tambua amechukua nchi ktk wakati mgumu ..kwa mazingira anayopitia anajitahdi ila wasira. Ni boksi ambalo mtoto kachezea kalitupa sasa ndo wasira
 
Hiyo video inaweza ikawa imetengenezwa ila huu msitu utakuwa unatisha, kama ilivyo kawaida msitu wowote usio na mwingiliano wa shughuli za kibinadamu lazima utishe, utakuwa na wanyama wakaili na viumbe wengine wa kutisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…