Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 21,593
- 46,759
Kama watz wanaoogelea mito yenye mamba, ati wanajua ratiba zao.Kuna clip niliona wakazi wapembezoni mwa amazon wakidai wanaogelea mito yenye anaconda humo humo wanadai ni nyoka wapole mno na ni nadra sana kushambulia binadamu
Inategemeana limesemwa na nani?
Akili zako si zimewekwa CCM makalioni ujashtuka mpaka povu linakutokaUna akili za kipumbavu mno
Umejuaje?umepigwa kamba
AI
😁😁 ila mamba kuna kina cha maji hawezi kukufuata kamweKama watz wanaoogelea mito yenye mamba, ati wanajua ratiba zao.
Ukiwa mgeni hata kusogelea mto huwezi, ila unakuta kina mama wanafua pembeni ilhali wiki iliyopita tu unaskia mbuzi aliliwa na mamba.
Kama kina gani mkuu?😁😁 ila mamba kuna kina cha maji hawezi kukufuata kamwe
Kwenye kina kirefu mno, hawezi kukufuata , ila maji ya magoti anapitwa na wewe shwaaa😁Kama kina gani mkuu?
Mbona mawindo yake si huwa anaka karibu na nchi kavu, au anaogopa kina kirefu??
Na wewe ukaamini?Kuna clip niliona wakazi wapembezoni mwa amazon wakidai wanaogelea mito yenye anaconda humo humo wanadai ni nyoka wapole mno na ni nadra sana kushambulia binadamu
Na inakuaje akidaka mnyama anampeleka maji marefu?Kwenye kina kirefu mno, hawezi kukufuata , ila maji ya magoti anapitwa na wewe shwaaa😁
Wewe unaonaje?Na wewe ukaamini?
Maji mafupi anaweka miguu chini kabisa halafu ana piga mkia kwenye maji , hapo anakua na nguvu kubwa kwa sababu miguu yake imegota chini, akikunasa anakupeleka maji marefu, ila kwa maji ya kina unaweza chomoka kwa sababu anakua mwepesi mno hana ile nguvu kwa sababu anashindwa kita miguu chiniNa inakuaje akidaka mnyama anampeleka maji marefu?
Ni AI hii Video inavyoanza inaanza na Logo ya Gemini upande wa kulia chiniInawezekana video ikawa AI ila Anaconda wapo kweli, sema hawakai watu kama movies zinavyoonesha
Hiyo video inaweza ikawa imetengenezwa ila huu msitu utakuwa unatisha, kama ilivyo kawaida msitu wowote usio na mwingiliano wa shughuli za kibinadamu lazima utishe, utakuwa na wanyama wakaili na viumbe wengine wa kutisha.
Aloo kumbe!! Nguvu yake sio kama papa ambao nguvu yao ipo majini yeye ni mpaka aguse ardhi...Maji mafupi anaweka miguu chini kabisa halafu ana piga mkia kwenye maji , hapo anakua na nguvu kubwa kwa sababu miguu yake imegota chini, akikunasa anakupeleka maji marefu, ila kwa maji ya kina unaweza chomoka kwa sababu anakua mwepesi mno hana ile nguvu kwa sababu anashindwa kita miguu chini
Hivyo ukiwa kina kirefu anakusikilizia hakufuati kirahisi.