Huu mstari unapatikana kwenye wimbo gani wa Fid Q?

Huu mstari unapatikana kwenye wimbo gani wa Fid Q?

barcelonista

Senior Member
Joined
Apr 26, 2021
Posts
158
Reaction score
149
Wakuu kwema?

Hivi huu mstari hapa chini unapatikana kwenye ngoma gani ya FID Q. Msaada kidogo.

"Kipaji kama Ngwea, bahati mapande aliwagea, ilikuwaje waache ulaji wa majani ukamuelemea"
 
Flag pepea, hitaji zaidi ya maji na mmea.../

Ngoma inaitwa Sumu
 
Back
Top Bottom