Huu mti unaitwaje na Matumizi yake ni nini

Huo mti sausage tree botanical knows Kigelia Africana. Moja ya matumizi yake ni kwenye kutengeneza pombe ya asali au Kangara ambapo ni pombe ya asili ya wamasai.

Sent using Jamii Forums mobile app
Asante mkuu!! Zamani miaka kama 80 iliyopita tulipokuwa wadogo watoto wa kike walikuwa wakifungia matunda ya Mti huo mgongoni kwa khanga wakiyaita "watoto" umenikumbusha mbali sana Mti huu ulikuwa jirani na home!!
 
Yanatimu Nguvu za kiume, hayo matunda anapo yachemsha na ukanywa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…