Huu mti unapatikana wapi?

Huu mti unapatikana wapi?

Tony Laurent

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2011
Posts
5,606
Reaction score
7,032
Nimesoma na kusikia kuwa majani ya huu mti (Curry leaf Tree) yanatibu magonjwa ya aina mbalimbali. Je, kwa Kiswahili mti huu unaitwaje? Naomba mtu yeyote anayefahamu ninapoweza kuupata mti huu, hasa majani yake anifahamishe tafadhali.

Curry Leaf Tree..jpg

curry-leaf-tree-in-melbourne-5888.jpg

curry leaves.jpg

images.jpg
 
Ipo mingi sana Bongo hasa maeneo ya Kibamba kama ni deal kihivyo basi nijuze nianze biashara
 
Nimesoma na kusikia kuwa majani ya huu mti (Curry leaf Tree) yanatibu magonjwa ya aina mbalimbali. Je, kwa Kiswahili mti huu unaitwaje? Naomba mtu yeyote anayefahamu ninapoweza kuupata mti huu, hasa majani yake anifahamishe tafadhali.

View attachment 259478

View attachment 259479

View attachment 259480

View attachment 259481
Huu Mti unaitwa kwa jina hili Curry Leaf Tree kwanza hapo Tanzania haupo huu mti unapatikana nchini India and Sri Lanka.Nenda huko utaupata.
 
Hii bidhaa unayo? Kuna mtu azihitaji kwa wingi
Labda kama nimeangalia vibaya lakini shambani kwangu ni mingi mno, wakati kama huu unatoa harufu fulani hivi ambayo inanikera hivyo mingi nimeikata lkn bado ipo tu ngoja jioni nifuatilie kwa karibu. Waweza kuta nina utajiri bali naukalia tu.
 
Nimesoma na kusikia kuwa majani ya huu mti (Curry leaf Tree) yanatibu magonjwa ya aina mbalimbali. Je, kwa Kiswahili mti huu unaitwaje? Naomba mtu yeyote anayefahamu ninapoweza kuupata mti huu, hasa majani yake anifahamishe tafadhali.

View attachment 259478

View attachment 259479

View attachment 259480

View attachment 259481
Curry leaf tree kwa kiswahili fasaha unaitwa mvuje na kwa tanzania nimeiona sana maeneo ya unguja mara nyingi hutiwa katika chips za mihogo chauro za dengu na kwenye biriani, nimajani yenye harufu moja kali hivi hata ukipia karibu na mtihuo utaisikia harufu yake. Inapatika huku kwetu zanzibar tena kwa wingi sana
 
Nimesoma na kusikia kuwa majani ya huu mti (Curry leaf Tree) yanatibu magonjwa ya aina mbalimbali. Je, kwa Kiswahili mti huu unaitwaje? Naomba mtu yeyote anayefahamu ninapoweza kuupata mti huu, hasa majani yake anifahamishe tafadhali.

View attachment 259478

View attachment 259479

View attachment 259480

View attachment 259481

nenda maduka ya dawa za kisuna kkoo au maduka ya dawa hasa pale mosque street posta dsm ulizia, ni mti unao patikana sana India na Sri Lanka.
 
Back
Top Bottom