Tony Laurent
JF-Expert Member
- Jan 5, 2011
- 5,606
- 7,032
Huu Mti unaitwa kwa jina hili Curry Leaf Tree kwanza hapo Tanzania haupo huu mti unapatikana nchini India and Sri Lanka.Nenda huko utaupata.Nimesoma na kusikia kuwa majani ya huu mti (Curry leaf Tree) yanatibu magonjwa ya aina mbalimbali. Je, kwa Kiswahili mti huu unaitwaje? Naomba mtu yeyote anayefahamu ninapoweza kuupata mti huu, hasa majani yake anifahamishe tafadhali.
View attachment 259478
View attachment 259479
View attachment 259480
View attachment 259481
Hii bidhaa unayo? Kuna mtu azihitaji kwa wingiIpo mingi sana Bongo hasa maeneo ya Kibamba kama ni deal kihivyo basi nijuze nianze biashara
Labda kama nimeangalia vibaya lakini shambani kwangu ni mingi mno, wakati kama huu unatoa harufu fulani hivi ambayo inanikera hivyo mingi nimeikata lkn bado ipo tu ngoja jioni nifuatilie kwa karibu. Waweza kuta nina utajiri bali naukalia tu.Hii bidhaa unayo? Kuna mtu azihitaji kwa wingi
Melia azedirachta Kwa jina la Kiswahili ni MwarubainiMelia azedirachta
Curry leaf tree kwa kiswahili fasaha unaitwa mvuje na kwa tanzania nimeiona sana maeneo ya unguja mara nyingi hutiwa katika chips za mihogo chauro za dengu na kwenye biriani, nimajani yenye harufu moja kali hivi hata ukipia karibu na mtihuo utaisikia harufu yake. Inapatika huku kwetu zanzibar tena kwa wingi sanaNimesoma na kusikia kuwa majani ya huu mti (Curry leaf Tree) yanatibu magonjwa ya aina mbalimbali. Je, kwa Kiswahili mti huu unaitwaje? Naomba mtu yeyote anayefahamu ninapoweza kuupata mti huu, hasa majani yake anifahamishe tafadhali.
View attachment 259478
View attachment 259479
View attachment 259480
View attachment 259481
Nimesoma na kusikia kuwa majani ya huu mti (Curry leaf Tree) yanatibu magonjwa ya aina mbalimbali. Je, kwa Kiswahili mti huu unaitwaje? Naomba mtu yeyote anayefahamu ninapoweza kuupata mti huu, hasa majani yake anifahamishe tafadhali.
View attachment 259478
View attachment 259479
View attachment 259480
View attachment 259481