Huu Mtindo mpya ama vipi?

Nowadays mambo yamebadilika,watu wanaoonekana wana akili timamu wanafanya mambo tofauti na ya ajabu kushinda "wehu"...imekuwa viceversa wendawazimu wanajistiri wanaoonekana wazima wanatembea uchi..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…