High Vampire
JF-Expert Member
- Nov 17, 2012
- 2,915
- 2,134
Katika kupita pita katika website ya befoward nikaona hii crown [emoji146][emoji146][emoji146] na mtungi wake na kazi yake ni nini hasahasa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii hapaHuelewek mtungi upi?
hiyo ni Air suspension
Bongo hapa kuna wataalamu wa kuweza kuiweka kweli hii systemGari ina air suspension badala ya zile shocks absorber za kawaida..kama unavyoion hapo imeshushw chini
Hio changamoto mzee unatakiwa ununue gari ambayo imeshafungwa...tayari ni mwendo wa kubonyeza tu mnyama anashuka chini...Bongo hapa kuna wataalamu wa kuweza kuiweka kweli hii system