Huu muujiza na ushuhuda niliosikia kwa Mwamposa umenistua

Mwanae ni mlevi wa kupindukia.. anatumia pesa za sadaka za huyu jamaa kupiga pisi Kali za hapa mjini [emoji23][emoji23][emoji23]

Daily trip za Dubai.. nyie subirini hiyo miamala ya ml 15
[emoji849][emoji849][emoji849]
 
Nilisikiliza siku moja nikagundua kuwa kweli wajinga hawatakaa waishe duniani kabisa milele.
 
Uko serious kweli Kuna mtu kashuhudia hivyo? Ukimwangalia alikuwa na akili timamu kweli?
Hela ikiingia kwenye simu msg inasoma umepokea 10 million toka kadhi mkuu 1, Sasa yeye jina gani lilituma hizo hela?
Hawezi kuhojiwa na police kweli?
Kuna watu wapumbavu ajabu.
 
Haahaahaa ......atakuwa mcharo soon

Halafu haya mambo lazima pia utoe kafara!

Si unaona Dad Bushiri baada ya kumtoa his beloved daughter
Huyu MC pilipili kanisa lake liko wapi? Kuna idadi kama kiasi gani waumini kwenye kanisa lake?
 
Mwamposa VS Nabii MUSA watu wenye jiji lao....

unasema Tajiri no.1 ni MO shubaamit,Mo anaeuza.....

maji liter 1 sh 500, wakati wenzake wanauza Dawasco mil 500 kwa 100,000....

halafu hawa wanaotoa list ya matajiri waache kutupanga,watuulize sisi ndio tunawajua matajiri....
 
Du! Aisee hawa ni kondoo kwelikweli 🤣🤣🤣
 
Kuna kondoo wake mmoja namchakata amenifanya niwaze San manzi kila siku kweny maombi alfu anaishi na muwe wake jamaa sijui anaenda asbh za kum na moja alfjiri kazin yeye Saa mbili kamili za asbh Yuko kwangu kuchakatwa alfu umwambii chochote kuhusu mwamposa ..
Ananishawishi tuwende jipili tukavuke nikajiuliza nienda kanisani na mtu ambae Nina zini nae kweli tukavuke
Watu wanaosali pale Kuna tatizo fln ubongoni siyo bure .
 
Ngoja tuone Mange Kimambi app itakua na habari gani kumhusu huyu jamaa as promised then 'a free mind' inaweza kuwa somehow informed ili iweze fanya decision vzur
 
Hela za ndotoni hizi. Laini ya Nani hiyo ipokee hiyo hela? Na sio mtumiaji wa miamala. Mwamposa bhana
 
Niliwahi kwenda kwa hyo tapeli siunajua tena ukikwama unajaribu kila njia ya kujiokoa muda wa ushuhuda kuna mama akatoa ushuhuda eti amepona ukimwi nilikimbia hadi ubongo mataa ndio nikasimama ili ninywe maji.
 
Daah..anyway mambo ya miujiza hupaswi kuyatafakari kwa akili ya kawaida.

#MaendeleoHayanaChama
 
Anzisha wewe fursa inakupita. Ila usije kuwa kama baba god wa mwanza. Hivi yule wa mwanza aliewaaminisha waumini wake kuwa yeye ni mungu sijui zumaridi aliishia wapi? Sijui hawakusanuka baada ya mungu wao kufungiwa na serikali wakajua kuwa yuko weak?
Bado yupo zama YouTube utamuona.


#MaendeleoHayanaChama
 
Haya makanisa ya mitume na manabii ni shida sana. Hizi shuhuda zinazotolewa na waumini nyingi zimekaa kibiashara zaidi hazina uhalisia. Na mwingine nilimsikia akitos ushuhuda kama huo ngomeni kwa Musa Richard Mwacha. Yeye alidai alipokea milioni moja na hakujua imetoka wapi na hata sms hakuwahi kuiona yeye aliuliza salio ndo akaikuta milioni hiyo kwenye akaunti yake.
 
Muhimu ni kuacha wafu wazikane mkuu.
 
Mazuzu hawaishi..kuna watu watahamia wawe wanalala kanisani kabisa
 
Ukristo ni dini halali..ndio mana shetani anaishambulia sana..hawezi shambulia kambi yake ya maajini.

#MaendeleoHayanaChama
 
God is able..kama unaamini kuwa Yesu alitembea juu ya maji..au danieli hakuliwa na simba..au elisha kupiga upofu jeshi..au musa kupiga mwamba ukatoa maji..unaashindwa vipi kuamini hiyo miujiza ya pesa..mana injili na Mungu ni yule yule wanao muhubili akina mwamposa.

#MaendeleoHayanaChama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…