Huu mwaka Harmonize ndiye kafanya kazi zilizotrend sana

Huu mwaka Harmonize ndiye kafanya kazi zilizotrend sana

ze jj

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2012
Posts
497
Reaction score
592
wadau bila kupepesa , huu mwaka harmonize ndiye kafanya kazi zilizotrend, ukipita mikoani unagundua harmonize ana fanbase almost sawa na diamond, inawezekana ndiye mrithi wa diamond,
 
Amefanya vizuri mwaka huu, nadhan pia anawezakuwa ameshirikishwa zaidi kuliko wasanii wote mwaka huu.
 
ana kazi gani Kali aliyofanya mwenyewe???ngoma zake zote zinaingia kwenye category ya best collaboration.. anawezaje kuwa best artist of the year...aarrggh
 
ana kazi gani Kali aliyofanya mwenyewe???ngoma zake zote zinaingia kwenye category ya best collaboration.. anawezaje kuwa best artist of the year...aarrggh
Unajua maana ya best Artist of the year go& sleep well
 
Back
Top Bottom