Huu mwaka wangu, nagawa bundle-Ladies only

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001
Ni kweli nachukia sana wanawake wapiga mizinga. Ila sometimes ukiamka vizuri unafanya kweli unayamwagilia maji haya maua ya dunia.
Sio kwamba wana njaa au hawana hela ya bundle, NO ni kushea furaha tu uliyonayo.
Kwa hiyo leo nimeamua tu. Nitagawa bundle la internet kwa kila mtoto wa kike huko PM. Hakuna maneno mengi, unachoweza kufanya ni kuacha namba yako PM.

Kama namba imesajiliwa kwa jina la mwanaume usijisumbue
 
Mim namba ya simu kusema kweli sina. Sa sijui hapo itakuaje aiseh😳
 
Mkuu umeishiwa mbinu kabisa?
 
Nimesajili kwa kitambulisho cha brother sa itakuaje ndo nishakosa bando
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…