T14 Armata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2017
- 13,924
- 47,173
Trump hajawahi kuwa mfanyakazi wa Tyson.Hakuna ajabu yeyote. Mike Tyson amewahi muajiri Trump na kuwa bosi wake. Maisha ni mzunguko.
Kikwete amewahi kuwa Katibu wa Pius Msekwa. Badae Pius Msekwa akaja kuwa Makamu Mwenyekiti CCM, Jakaya Mwenyekiti na Raisi wa nchi. Anachokifanya Trump ni heshima kwa bosi wake wa zamani (Tyson).
Kesho ni fumbo.
Nadhani Trump alijitolea kuwa mshauri wa fedha wa Tyson na hakuwa analipwa. Tyson hakuwahi muajiri.
Trump kashadhamini mapambano ya Tyson kama 15+ kabla ya kujitolea kumshauri kifedha. Hebu check vizuri mkuu.
Tyson wakati yupo kwenye peak alifika utajiri wa dola milioni 430... late 1980s hadi 1990s... hio ni 430 milion usd ya miaka hio.. kwa leo inaweza kuwa sawa na dola milioni 700.. au zaidi..Mkuu kuna tofauti kati ya boss na mshauri wa mambo ya kifedha. Kamwe Trump hajawahi kuwa mfanyakazi wa Tyson. Alikuwa mshauri wa kifedha. Ikumbukwe Trump kazaliwa kwenye utajiri na alishakuwa tajiri mkubwa kabla ya Tyson kuwa maarufu. Na mapambano kadhaa ya Tyson yalifanyika kwenye kumbi zilizokuwa zinamilikiwa na Trump.
Ni kweli kuwa consultant ni muajiriwa wa anaemlipa. Lakini sio kweli kuwa muajiri ni bosi wa anaemlipa. Unapomlipa daktari, mwanasheria n.k. hakujufanyi wewe kuwa bosi wao. Unalipia utaalamu wake na muda atakaotumia katika shauri lako. Ungekuwa bosi wao hivyo basi wangewajibika kukuambia kitu unachotaka hata kama ni kinyume na utaalamu wao. Inawezekana kuwa Trump aliajiriwa na Tyson kama mshauri na sio vinginevyo. Tyson hakuwa bosi wake.
Amandla...
Trump hajawahi kuwa mfanyakazi wa Tyson.
Wabongo wengi huwa wanaamini ukilipwa mshahara/consultation fee na mtu basi lazima awe anakuzidi hela na lazima awe boss wako, kumbe sio lazima. Wakati Tyson anamfanya Trump awe mshauri wake wa masuala ya fedha Trump ni mtoto wa kishua na karithi mali za mzee John na anamzidi Tyson hela miaka yote.
Trump alikuwa na tabia ya kujihusisha na celebrities kulingana na biashara zake zilivyokuwa. Watu maarufu wote enzi zile wawe wapiga dili, waigizaji, wasanii na mabondia yeye alikuwa anawakubali.
Hiyo ni afadhali. Lakini kwa kiingereza Trump alikuwa contractor na sio employee.Sawa mkuu. Nafuta neno "bosi" nabakiza "Muajiri". Basi ibakie kwamba Tyson aliwahi muajiri Trump. 😊
Si unajua tena wabongo wakishaona wanaume wawili wanatembea kwa pamoja huku wameshikana kama hiyo picha ya Trump na Tyson hapo.Kivipi tenaa??
Vitu gani hivyo?Hata uwe na chuki kiasi gani, Kuna tuvitu vitu utampendea Trump.
Moves zake tu. Ila kwa Mzee wa miaka 80 kufanya anayofanya Trump ni maajabu.Vitu gani hivyo?
Amandla...
Kuwa consulted si lazima uwe umeajiriwa.Huo ushua au Trump kuwa na hela kumzidi Mike sijauzungumzia.
Hoja ni kwamba, Mike Tyson amewahi muajiri (hired) Trump kama Mshauri wake wa masuala ya fedha.
Hiyo ni afadhali. Lakini kwa kiingereza Trump alikuwa contractor na sio employee.
Amandla...
Kuwa consulted si lazima uwe umeajiriwa.
Boss wa Trump mwaka gani?si alikua promoter wake tu na mshauri??Trump si kazaliwa billionaire?or hujawahi kusikia Trump Tower(s)?Hakuna ajabu yeyote. Mike Tyson amewahi muajiri Trump na kuwa bosi wake. Maisha ni mzunguko.
Kikwete amewahi kuwa Katibu wa Pius Msekwa. Badae Pius Msekwa akaja kuwa Makamu Mwenyekiti CCM, Jakaya Mwenyekiti na Raisi wa nchi. Anachokifanya Trump ni heshima kwa bosi wake wa zamani (Tyson).
Kesho ni fumbo.
Huyo ana hoja na ndio ukweli kwasababu Trump alikuwa analipwa hakuwa anafanya bureWewe una ubishi wa vijiweni kwa hiyo hata kukuelewesha haitasaidia.
Sasa akilipwa kwanini wakati ana hela nyingi?Trump hajawahi kuwa mfanyakazi wa Tyson.
Wabongo wengi huwa wanaamini ukilipwa mshahara/consultation fee na mtu basi lazima awe anakuzidi hela na lazima awe boss wako, kumbe sio lazima. Wakati Tyson anamfanya Trump awe mshauri wake wa masuala ya fedha Trump ni mtoto wa kishua na karithi mali za mzee John na anamzidi Tyson hela miaka yote.
Trump alikuwa na tabia ya kujihusisha na celebrities kulingana na biashara zake zilivyokuwa. Watu maarufu wote enzi zile wawe wapiga dili, waigizaji, wasanii na mabondia yeye alikuwa anawakubali.
Boss wa Trump mwaka gani?si alikua promoter wake tu na mshauri??Trump si kazaliwa billionaire?or hujawahi kusikia Trump Tower(s)?
Taja hizo moves.Moves zake tu. Ila kwa Mzee wa miaka 80 kufanya anayofanya Trump ni maajabu.