lost files
JF-Expert Member
- Apr 17, 2025
- 1,146
- 3,425
Tyson alikua kijana mdogo wa miaka 22 na World champion alipatwa na kesi masuala ya management so akamfata trump amsaidie masuala ya ushauri,trump tayari alikua mfanya biashara mkubwa na mapambano ya ngumi mengi yalikua yanafanywa katika Casino ZakeSasa akilipwa kwanini wakati ana hela nyingi?
Na Trump alikuwa mdhamini wa baadhi ya mashindano ya Tyson. Ambavyo huo udhamini ndio Tyson anatoka hapo analipwa.Maana yake umeajiriwa kutoa huduma ya ushauri na unalipwa kwa kazi hiyo.
Kwahiyo akilipwa mshahara au akifanya bure tu?Tyson alikua kijana mdogo wa miaka 22 na World champion alipatwa na kesi masuala ya management so akamfata trump amsaidie masuala ya ushauri,trump tayari alikua mfanya biashara mkubwa na mapambano ya ngumi mengi yalikua yanafanywa katika Casino Zake
Trump hakuzaliwa billionaire. Baba yake alikuwa tajiri lakini hakuwa billionaire. Trump alikuwa maarufu kwa ku inflate utajiri wake ( kusema nyumba yake ni kubwa kuliko ilivyo) ili Forbes wamuingize katika orodha wa mabillionaire. Amekuwa billionaire baada ya kuwa Rais. Trump ni corrupt sana.Boss wa Trump mwaka gani?si alikua promoter wake tu na mshauri??Trump si kazaliwa billionaire?or hujawahi kusikia Trump Tower(s)?
Sio malipo yote ni mshahara. Trump hajawahi kulipwa mshahara ( salary) na Tyson. Kama kulipwa, itakuwa ada ya ushauri, sio mshahara.Kwahiyo akilipwa mshahara au akifanya bure tu?
Labda nimeongeza chumvi kusema billionaire ila urithi wake alipewa karibu dollar million 400..Trump hakuzaliwa billionaire. Baba yake alikuwa tajiri lakini hakuwa billionaire. Trump alikuwa maarufu kwa ku inflate utajiri wake ( kusema nyumba yake ni kubwa kuliko ilivyo) ili Forbes wamuingize katika orodha wa mabillionaire. Amekuwa billionaire baada ya kuwa Rais. Trump ni corrupt sana.
Amandla...
Na biashara zake nyingi hazikufanikiwa.Labda nimeongeza chumvi kusema billionaire ila urithi wake alipewa karibu dollar million 400..
Na wakati anakua aliwahi kumkopa baba yake dollar million 9..
So he was loaded tangu mdogo,maybe not a billionaire ila millionaire.
Kiongozi; neno "hire" lina maana zaidi ya moja. Ya kwanza, kuajiri (employ).Aliwahi kuajiriwa (Hired) kutoa huduma ya kitaalam yenye malipo na Mike Tyson. Sijazungumzia utajiri wake/wao.
Unataka kuongea nini? Au wataka kuleta propaganda gani? Trump na Tyson ni Marafiki tangu enzi za ujana wao.
Consultancy fees; not mshahara. Dah, tumelemazwa kweli na "permanent and pensionable" kusubiri "terminal benefits" miaka 33 baadaye!Kwahiyo akilipwa mshahara au akifanya bure tu?
Hiyo ni biashara ya nipe nikupe..hakuna aliyemuajiri mwenzie hapo.Nani alikuwa anamlipa mwenzake?
Ukifanya ushauri wa kitaalam (consultation) na ukalipwa, anaekulipa ni bossi wako. Maana yake amekuajiri kufanya kazi hiyo, hufanyi bure, unalipwa nae.
Mkuu hauoni kichefuchefu kuchanganya lugha?Consultancy fees; not mshahara. Dah, tumelemazwa kweli na "permanent and pensionable" kusubiri "terminal benefits" miaka 33 baadaye!
Wenye akili I do your job, you pay me instantly.
Kwani mshahara ni nini?Sio malipo yote ni mshahara. Trump hajawahi kulipwa mshahara ( salary) na Tyson. Kama kulipwa, itakuwa ada ya ushauri, sio mshahara.
Amandla...
Mshahara ni malipo anayolipwa mtumishi na aliyemwajiri kwa kumtumikia. Mara nyingi mshahara unalipwa kila baada ya muda fulani ( wiki au mwezi) na panakuwa na makubaliano ya nini kinategemewa kutoka kwake na muajiri wake. Makubaliano hayo pia yanaweka wazi wajibu wa muajiri kwa mtu aliyemuajiri. Panakuwa na uhusiano wa Master na Servant. Servant anatekeleza matakwa ya Master wake.Kwani mshahara ni nini?
Unafikiri alifanya ushauri bure sawa na sisi hapa JF. Ukimpa mtu pesa aidha kwa ajili ya ukibarua au ushauri, hapo unakuwa umemwajiriTyson hajawahi kumtumikisha Trump. Ila alishawahi kuingia mkataba na Trump kuwa mshauri wake wa mambo ya fedha na kazi zake kwa ujumla.
Wenda ❎ huenda ✅Sio ubishi wa kijiweni. Hujanielewesha unanishambulia! 😊
Neno "kuajiri" wenda linakupiga chenga mkuu.
Fuatilia historia ya Trump umjue vizuri.Unafikiri alifanya ushauri bure sawa na sisi hapa JF. Ukimpa mtu pesa aidha kwa ajili ya ukibarua au ushauri, hapo unakuwa umemwajiri
Bora umesema kwa wanamichezo. Sasa wakati huo Trump alikuwa na zaidi ya hizo jumlisha na za familia yake.Tyson wakati yupo kwenye peak alifika utajiri wa dola milioni 430... late 1980s hadi 1990s... hio ni 430 milion usd ya miaka hio.. kwa leo inaweza kuwa sawa na dola milioni 700.. au zaidi..
Tyson alikuwa tajiri , alikuwa anachuana na Michael Jordan au kulingana, hao ndio walikuwa wanaongoza kwa utajiri miaka hio... kwa wana michezo..