Huu mwezi mbona umeanza na nyuzi nyingi kuhusu waislamu. Wapumzisheni hawa ndugu zenu

Wanawaonea kwasababu wakiwa kwenye mfungo hawawezi kujitetea. Ngoja wafungulie mpate majibu yenu
 
Yani wanaanza mfungo, mara ttiiii, nyuzi karibia laki πŸ˜‚πŸ˜‚

Mishe mishe zao mwezi huu mnaona kama zinawakera?

Anyway maisha yaendelee, mwanadamu ni zaidi ya dini ndio maana imemshinda.
zipi? ngapi? ziorodheshe hapa
 
wengine wanapenda waelewe sio kashfa .maana ulcers ni ugonjwa kwa anayefahamu
 
Yani wanaanza mfungo, mara ttiiii, nyuzi karibia laki πŸ˜‚πŸ˜‚

Mishe mishe zao mwezi huu mnaona kama zinawakera?

Anyway maisha yaendelee, mwanadamu ni zaidi ya dini ndio maana imemshinda.
Biashara ya KITI MOTO HAILIPI KWA SASA!
Mikopo kausha tutalipaje???!😭😭
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…