...so in april siku za class ni nne tuh kila wiki mwezi mzima
wiki hii....ijumaa.7 karume day
Next wiki...ijumaa 14 Good friday
Next of next week...17..Easter Monday
nex of nex of nex week...26jumatano...Union day
.....BE BLessd april[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
siku nne tu za class kila wiki mwezi mzima.......
sijui kwanini nimewaza hivi....nahisi spendi shule
hahahaahah, ndio mfanye assignment mtakazokuwa mmepewa!
Mie nakumbuka kipindi nasoma soma kachuo Fulani ka upishi, tulikuwa na mhadhiri mshenzi mshenzi, anatuambia chagueni mnataka tufanye test tarehe 27/12 au 2/1 hahahahaahh na hali anajua siku zote hizo watu wanakuwa wana mauchovu ya sikukuu. Ama kweli shule mwananyoro kweli!!!!