ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Na sasa ni saa 10:03Sasa hivi tu hapo nimeamka ilikuwa saa mbili na nusu
Sasa hivi bado dakika tano tu ifike saa nne
Umefika saa 10:45Na sasa ni saa 10:03
Kadiri muda unavyokimbia mbele ndivyo makaburi yetu yanavyokaribia kwa speed.Eti Leo NI tarehe 6 na jumatatu ijayo itakuwa tarahe 11,kweli Mama anaupiga mwingi mpaka siku zinakimbia.
Tatizo ni haya Mambo ya 4G na kupanda kwa bei Siku zinakimbia ili ulipe kodi tena kama hujui mpgie Baba mwenye nyumba.Eti Leo NI tarehe 6 na jumatatu ijayo itakuwa tarahe 11,kweli Mama anaupiga mwingi mpaka siku zinakimbia.
Ndugu DERRICK:Kwa hiyo na mshale wa saa yako nao unakimbia?