Huu mwezi wa 5 naona kama hauendi...

RAKI BIG

JF-Expert Member
Joined
Apr 26, 2020
Posts
394
Reaction score
456
Huu mwezi wa 5 mbona naona kama hauendi yaani leo ndo kwanza tarehe 6? Au kwa kuwa ndo nimefunga na Ramdhani hii, maana napata wazimu hela nishamilza
 
Jifunze Kuandika Basi, Kwa Maana hata haueleweki au Msimulie Kaka yako akuandikie ni nini unamaanisha na sisi tupo hapa kuchangia tu..OK??
 
Huu mwezi wa 5 mbona naona kama hauendi yaani leo ndo kwanza tarehe 6? Au kwa kuwa ndo nimefunga na Ramdhani hii, maana napata wazimu hela nishamilza
Ukitaka siku ziende usiangalie kalenda wala saa mkuu,ishi kama uko msituni umepotea,na ukikaa na mtu anaulizia tarehe mkimbie usisubiri kusikia jibu...
 
Ukitaka siku ziende usiangalie kalenda wala saa mkuu,ishi kama uko msituni umepotea na ukikaa na mtu anaulizia tarehe mkimbie usisubiri kusikia jibu...
hahahaha sawa mkuu unachosema nikweli kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…