Mkuu picha na heading haviko proportional, mi nilipoona neno mjengo nikajua nitaona picha nyumba ya maana, lakini nimeshangaa kuona swimming pool na gym basi nikakumbuka heading za magazeti ya Udaku.
Duh! sijui ni lack of exposure au uwezo wa kufikiri. Yani fundi anakujengea nyumba hardly a meter kutoka kwenye ukuta wa fensi unamuangalia tu mpaka anamaliza hapo hewa na joto sijui itakuwaje?? Hapo Bilionea kachemka..