Huu ndio mkataba wa Karl Peters na Chifu Mangungo ulitufanya tunawekwa chini ya Mjerumani

Wewewweee mpe huyo asomeee huyo enginia atatusomea uwongo maana ndiye tuanetaka kugomba nae hapa[emoji2][emoji2]
Asee chief nimecheka sana unajua ile siku nilikuwepo pale igunga mwanri n chizi maarifa hakika daah hii awamu had iishe tutajionea mengi
 
Tanzania kwa historia tuko shallow sana .historians wetu wakitaka kuchimbua hapo wangekuwa na kazi ya life time lakini wapi,wanasubiri wakopi kutoka ughaibuni!
Kweli unawezaje kuwazungumzia akina mangungo mkwawa kinjeketili mangi meli mangi sina mtemi mirambo kwa kurasa au few paragraphs?
Kila mmoja wao anatakiwa awe na volume ya maandishi hizo koo sidhani kama zimefutika mfano Mirambo mdio ukoo wa late spika sita waende kule .
Hata historia ya mzee nyerere hakuna kitu mzee karume hakuna kitu mzee magufuli hakuna kitu utaambiwa tu kazaliwa chato kasoma chato hupewi lineage yake and stuffs wote akina mzee mwinyi tunataka kujua lineage zao at least mzee kikwete unaweza kuokota hapa na pale kwa kuwa ana mdomo filani hv
 


ndo maana tuliitwa "the dark continent," mambo yetu hayajulikani na tulivyo wajinga hatutaki kuyajua.

umegusia background za kina Nyerere, Karume, Kikwete, Magufuli na kadhali ambazo hatuzijui, well, kwa upande wa modern and post modern history, details za hao viongozi wetu hawataki tujifunze kwa sababu wanaogopa tutachimbua ma leadership failures yao, ndio maana wanaficha kila kitu tusijue background, life and legacy zao.

Juzi Ally Bashiru kaenda kumtembelea Rais Mwinyi aliyeugua, Bashiru kamwambia Mwinyi legacy yake ni kudumisha Muungano na kukuza Kiswahili!

Hahahahaaaaaaaa

Umekaa miaka 10 kama Rais wa nchi unakubali kuambiwa kwamba unakumbukwa kwa lugha ya Kiswahili!
 
Hivi mangungo alikuwa anaweza kuongea na kusoma kijerumani?
 
Mang'ungo wapo wengi hata Tz ya leo, ila tofauti na Mang'ungo wa zamani hawa wa sasa wanauza nchi kwa ajili ya matumbo yao na familia zao na sio Nchi, mfano mzuri ni mikataba ya;
Madini yetu
Gas (awamu ya kikwete)
Hivi joka la makengeza lipo huku?
 
Mashinji na washirika wake wangepitia hapa.
Mashinji. Kutobughudhiwa na wanao mdai,Sumaye mashamba, Lowasa ufisadi, Gekul xx, Lipumba, Waitara beer.
Mangungo si ajabu alipewa pombe, sigara na kofia. Sad
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…