Huu ndio mkataba wa Karl Peters na Chifu Mangungo ulitufanya tunawekwa chini ya Mjerumani

Yaani ilitakiwa makaburi yafukuliwe wachomwe moto
Huo mkataba wala haukuwa wa kiingereza ulikuwa kwa Kijerumani. Tutawalaumu bure akina Mangungo lakini kwa kweli hicho kipande cha karatasi kilikuwa ni kisingizio tu cha kuchukuwa nchi. Hata kama asingesaini wangechukua tu.
 
kama hii ya kichina ya siku hizi unakuta mkataba umeandikwa #$@#&^%()% then unaambiwa ndo tushauza Bagamoyo
 
Huu wa Mangungo Cha mtoto. Ukiuona wa wasomi wa Sasa PROFESA MBARAWA na waarabu, utajiuliza Mara Mia, huyu Ni profesa wa kitu gani? Huu uprofesa gani hata mtoto wa darasa lapili anamzidi akili..
 
Mpuuzi sana huyo karl peters
 
Kwenye huu mkataba huenda kuna kitu kinafichwa, wajerumani wali offer nini kwa Mangungo ? , Naamini hata wakati huo kwenye mikataba walikuwa wakiandika pande zote zina offer nini
 
Ningependa kufahamu mengi zaidi kuhusu mkaliman ramazan lakini nasikitika haitawezekana
Nafikiri alitokea Zanzibar na waliokuwa wanasaka watumwa bara na kuuzia Waarabu kama Bushiri kwa hiyo alijua alichuwa anafanya kumlaghai Mangungo naona uchungu kwani Mangungo aliuzwa na Ramazan ambae alijua kila kitu na Peter’s
 
Kwenye huu mkataba huenda kuna kitu kinafichwa, wajerumani wali offer nini kwa Mangungo ? , Naamini hata wakati huo kwenye mikataba walikuwa wakiandika pande zote zina offer nini
Protection ya eneo la Mangungo ambalo halijulikani na Mangungo kumkataa Sultan wa ZZenji
 
Dalali kwenye issue nzima alikuwepo jamaa anaitwa Ramzan, huyu alikuwa mhindi au muarabu.
 
Mwamba chief Mangungo ni vile tu hakusoma ila alikuwa mwamba sana, ila hawa wa sasa wamesoma tena sana na wengine huko huko Ulaya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…