Huu ndio msimu wao??

Huu ndio msimu wao??

Fraddle b

JF-Expert Member
Joined
Nov 20, 2011
Posts
222
Reaction score
20
Katika siku za karibuni katika tasnia ya muziki wa bongo zimeibuka bifu nyingi hasa kwa wasanii wa HIP HOP TANZANIA
mfano:
Roma/izo B
chid beenz/Afande sele
soggy/afande sele
kikosi cha mizinga(kala pina)/WEUSI
Nick mbishi/WEUSI
chid beenz/jay moe.
POINTI YA MSINGI NDIO TUSEME HUU NDIO MSIMU WAO WA BEEF KWA WANA HIP HOP??
 
beef ni muhimu ktk hip-hop,hip-hop heads wanaelewa hili,ni kama kijana anaporithi ufalme halafu anatangaza vita na falme tofauti,kifupi ni kwamba beef inakuza hip-hop.mfano mzuri 2pac na Biggie walifanikiwa sana kutokana na beef,na hiyo ikasaidia kupaisha watu wengine kama Jay z na snoop.
 
lakini bongo wamezidi,halafu wako wengi mkuu
 
Katika siku za karibuni katika tasnia ya muziki wa bongo zimeibuka bifu nyingi hasa kwa wasanii wa HIP HOP TANZANIA
mfano:
Roma/izo B
chid beenz/Afande sele
soggy/afande sele
kikosi cha mizinga(kala pina)/WEUSI
Nick mbishi/WEUSI
chid beenz/jay moe.
POINTI YA MSINGI NDIO TUSEME HUU NDIO MSIMU WAO WA BEEF KWA WANA HIP HOP??

Kwenye "red"=Wasanii wanojiita wanahiphop
 
Katika siku za karibuni katika tasnia ya muziki wa bongo zimeibuka bifu nyingi hasa kwa wasanii wa HIP HOP TANZANIA
mfano:
Roma/izo B
chid beenz/Afande sele
soggy/afande sele
kikosi cha mizinga(kala pina)/WEUSI
Nick mbishi/WEUSI
chid beenz/jay moe.
POINTI YA MSINGI NDIO TUSEME HUU NDIO MSIMU WAO WA BEEF KWA WANA HIP HOP??

Wana target soko la pasaka kuanzia alhamis kuu,ijumaa kuu,jumamosi kuu,junapili ya pasaka na jumatatu ya pasaka.
 
leo class mnaingia mchana nini
Hapana shule bado zimefungwa
Form five wengine bado hawajaanza Kusoma
Na fotm six wapo likizo bado
Ndio maana wanatusumbua
Wale wengine baado waNa stress za boom
 
Na msimu wa mabifu ya mabloggers wakike pia!!! Kazi ipo
 
Back
Top Bottom