Huu ndio Mzigo wangu wa Movie

Maudhui yake yapo vp
Hiyo ni series inayohusu familia ya watu wanne baba mama na watoto wawili, inavyoanza walikua wanaishi maisha ya kuficha identity Zao ,wazaz kosa walilifanya kwahiyo kwa miaka 8 walikua wanaficha identity Zao kuna siku mwanamke akaona awasalimie wazaze wake kitendo cha kufanya hivyo kikasababisha police wawatambua familia baada ya kuona wamesanukiwa wakakimbilia Mexico baada ya kufika huko kuna msala tena wakaufanya kwa cartel mmoja kwahiy wakaingia kwenye msala mwingine huku wanatafutwa na police, huku wanatafutwa na genge la wauza madawa

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Ya kutisha au

Zote hizo nimeshaziangalia isipokuwa tu hiyo namba 7. Bangkok Dangerous

Idadi ya movies and series nilizotizama ni nyingi mno kiasi zingine nimeshasahau.

Katika hiyo list yako my favourite movies ni Mission Impossible zote, Colombiana na American Sniper.
 
Mkuu ni mzuri pia..hutojutia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…