mr gentleman
JF-Expert Member
- Aug 1, 2012
- 3,222
- 4,689
Kwa nyimbo hii bora hata alivoanza kiki nimepata kuisikia ila ingenipitia kushotoHii ndio kazi mpya ya Benpol aliyokuwa anaitangaza kupitia picha za utupu wake. Anasema ile ni sanaa alikuwa anajaribu kuipa uhalisia.
Vipi amefaulu au amefeli?