Huu ndio ukweli kwa hawa wawili.Diamond & Kiba

Huu ndio ukweli kwa hawa wawili.Diamond & Kiba

Vhagar

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2015
Posts
20,550
Reaction score
39,949
Kwanza mimi cna team katia ya hawa watu wawili ila
Kumfananisha [HASHTAG]#diamond[/HASHTAG] na [HASHTAG]#kiba[/HASHTAG] mna nkumbusha kipindi cha [HASHTAG]#ray[/HASHTAG] na [HASHTAG]#kanumba[/HASHTAG] ujue ilikuaje

Wakati kanumba akiangaika kutafuta masoko ya move nje na kuibua vipaji kama kina rose ndauka,irene poul,jeniffa,patric,kina hamisa
Ray alikua katulia tuu ila watu waliendelea kuwa fananisha paka #kanumba ana kufa ilijulikana kwamba rey ndo angekua merith lakini akafa na bongo move yke.

Sasa ndo hichi kipindi kipindi diamond anapambana kuinua mziki wetu kima taifa kupiga macolabo na kina davido,psqere,kyce,mr.flave na wengine kiba alikua katulia tuu paka inafikia mziki wetu bongo unakua biashara #kiba anazuka na kujiita mfalme.

Sawa kazi zakiba ni nzurii anajua kuimba hatukatai jee kafanya nini cha kujivunia kama taifa, kipindi kiba anajiita Mfalme #diamond ana pambana kuwa toa wasanii kama kina
Homornize
Rayvan
Lavalava

Huku kiba akimchuku Baraka da preice na omyy dimpoz wasanii ambao tayari wamesha kua wanajiweza. Diamond anatengeneza maslahi ya wasanii alipona wasanii wanaonewa hawapati chochote aliamua atoe blog ambayo itawasaidia kujipatia pesa za mauzo ya nyimbo zao.

Hakuishia hapo juzi katoka kuto fursa kwa wakulima wa karanga. Huyu ndie diamond atakae kumbukwa sikuzote kwa haya. Hivi leo Rayvan angekua ni msanii wa kiba na kachukua BET ingekuaje..?

kiukweli #Kiba anaimba vizurii sana ila #diamond nimsanii ambe kafanya vitu vingi avyo tunajivunia kama taifa. Kaipeperusha bendera ipasavyo na heshima yake inabidi tumpe tuu.

Diamond ndio msanii alie leta upinzani paka leo wasanii wanafanya video nzurii.

Hakika kiba hapaswi kufananishwa na huyu jamaa.
Mimi sina team. Mnyonge mnyongeni haki yke mpeni
 
Nimesikia zikiongelewa eti msimu wa Fiesta unakaribia,na Kiba huwa anazunguka na Clouds hvo wanampa promo na status nzr ili alete shauku ya watu kushiriki fiesta,na vile hawataleta msanii toka nje bas inabid msanii wa ndani apewe hadhi ya kimataifa.

Philips X2560
 
Tujuze pia tusio na team WANASHINDANISHWA KWA LIPI?
1-Fedha
2-utanashati
3- muziki
4- mashabiki
5- msaada.
na mimi nasubiri jibu maana km kaegama kwenye misaaada vile.

maana mTanzania anakuthamini ukiwa mtoaji ila km mchumi ndo ujipange.
 
Amini mm ninakwambia Mkuu, wasiojielewa ndio watamponda ila kimziki Diamond yupo mbali saaaana. Anza kuangalia uwezo wa video, kwenye show n.k kote huko diamond kamuacha mbali saana Kiba.

Hawa ni watu wawili tofauti, Diamond kapata Opportunity ya kutoka kimziki akiwa kinda na ameitumia vyeeema sana. Hata akina Matonya, Ferouz, Chid Benz, Mr Blue hawakuwa serious na kazi mziki kama Diamond.
 
Nimesikia zikiongelewa eti msimu wa Fiesta unakaribia,na Kiba huwa anazunguka na Clouds hvo wanampa promo na status nzr ili alete shauku ya watu kushiriki fiesta,na vile hawataleta msanii toka nje bas inabid msanii wa ndani apewe hadhi ya kimataifa.

Philips X2560
Hilo Ruge aliliongea mapema, jamaa anaakili anajua anachokifanya. Wajinga ni Mange na Manyumbu wake wanaomsaidia Ruge promo bila kujua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hilo Ruge aliliongea mapema, jamaa anaakili anajua anachokifanya. Wajinga ni Mange na Manyumbu wake wanaomsaidia Ruge promo bila kujua

Sent using Jamii Forums mobile app

Aiseee ni kweli lkn imekuwa kali zaidi maana inaweza ua mziki wa Tanzania,ss hv wasanii wengine hata hawapewi time.

37c4155b70263825c0f490556b00524e.jpg

Hapa nadhan wanamaanisha wameguswa na wimbo wa Ali Kiba.
Philips X2560
 
Aiseee ni kweli lkn imekuwa kali zaidi maana inaweza ua mziki wa Tanzania,ss hv wasanii wengine hata hawapewi time.

Philips X2560
Nawahurumia sana wadogo zangu wanaofanya mziki mzuri kama Aslay,Beka. Ningekuwa mi meneja wao ningewaambia wastop kwanza kuachia ngoma hadi huu upuuzi 'upepo' uishe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Binafsi nimesikiliza sana seduce me .....sijui kwanini imepewa promo kiasi hicho
Halafu kiukweli clouds wameipaisha sana
 
Nawahurumia sana wadogo zangu wanaofanya mziki mzuri kama Aslay,Beka. Ningekuwa mi meneja wao ningewaambia wastop kwanza kuachia ngoma hadi huu upuuzi 'upepo' uishe

Sent using Jamii Forums mobile app
Aslay yule Dogo sijui tatizo menejimenti nzuri anakosa kwa Sasa ila yupo vizuri sana!
ijumaa wakati wa usajili wa wasanii wa fiesta Moro mashabiki walimtaja Mara kibao ila hajasajiliwa.......
ila Dogo yuko vizuri na nafikiri yamoto band imemrudisha nyuma sana, huenda angeendelea peke yake angekuwa mbali sana Sasa hivi
 
Binafsi nimesikiliza sana seduce me .....sijui kwanini imepewa promo kiasi hicho
Halafu kiukweli clouds wameipaisha sana
Shida inakatisha tamaa wengine,pia inaweza leta chuki baina ya wasanii wengine na hawa wawil mond na kiba sabb ni km ndo wanaosabbsha wengine wasifanye muziki vzr.

Philips X2560
 
Back
Top Bottom