Ty_Vigilante
JF-Expert Member
- Jan 19, 2015
- 2,890
- 2,455
Twambie na zilipendwa uliposkiliza ulipata nnBinafsi nimesikiliza sana seduce me .....sijui kwanini imepewa promo kiasi hicho
Halafu kiukweli clouds wameipaisha sana
Hv katika hii nchi aliyefanikiwa zaid ni Diamond peke yake???mbn watu hawamchukii MO,Bhakhersa,Mengi n.k mnasumbuliwa na ushabiki tuMkuu umenena vyema tatizo letu ni Moja tu ukianza kufanikiwa unakuwa na maadui wengi hata ambao hujawakosea watakuchukia
Sent using Jamii Forums mobile app
Una maanisha siku wakipatanishwa Kiba ataacha kutoa muziki mzuri??au Diamond ataacha kutoa nyimbo nyingi kwa wakati mmoja.???Ukitaka kujua mbivu na mbichi naombea siku wapatanishwe. Ndo tutajua nani anatembelea nyota ya mtu.
Uliposikiliza ZILIPENDWA uliekewa nini??Binafsi nimesikiliza sana seduce me .....sijui kwanini imepewa promo kiasi hicho
Halafu kiukweli clouds wameipaisha sana
Media mtazisingizia bure mashabiki ndio wanapromoti huo ushindani na media kazi yake ni kulipo yale yaliyopo katika jamiiHeri wewe ulieona hayo sijui wasanii wengine watasikikaje sasa hivi bella nae katoa songi sioni promo yani hao wawili wanafanya tanzania ionekane in a wasanii wawili tu wakati kuna watu kibao wanakaza inasikitisha kuna mda naishangaa sana clouds lakini kibiashara acha wafanye hivo watakula wapi Na fiesta ndo hiyo ila ni tabia mbaya na inanuka kukandamiza wasanii kumshusha mondi nisawa na kuamini ipo siku israel itafutika kwenye uso wa dunia.
Ni bora watu watakao ingia katika Akaunti hiyo ya Clouds, pia wakikutana na hiyo post..........Aiseee ni kweli lkn imekuwa kali zaidi maana inaweza ua mziki wa Tanzania,ss hv wasanii wengine hata hawapewi time.
Hapa nadhan wanamaanisha wameguswa na wimbo wa Ali Kiba.
Philips X2560
Umerogwa na mshana.?Nimesikia zikiongelewa eti msimu wa Fiesta unakaribia,na Kiba huwa anazunguka na Clouds hvo wanampa promo na status nzr ili alete shauku ya watu kushiriki fiesta,na vile hawataleta msanii toka nje bas inabid msanii wa ndani apewe hadhi ya kimataifa.
Philips X2560
Kwaiyo kila anaemkubali Ali hajielewi?Amini mm ninakwambia Mkuu, wasiojielewa ndio watamponda ila kimziki Diamond yupo mbali saaaana. Anza kuangalia uwezo wa video, kwenye show n.k kote huko diamond kamuacha mbali saana Kiba.
Hawa ni watu wawili tofauti, Diamond kapata Opportunity ya kutoka kimziki akiwa kinda na ameitumia vyeeema sana. Hata akina Matonya, Ferouz, Chid Benz, Mr Blue hawakuwa serious na kazi mziki kama Diamond.
Unajua leo kuwa nimerogwa?Umerogwa na mshana.?
Domo kubwa hana tofauti na samu wa ukweli