theriogenology
JF-Expert Member
- Oct 7, 2016
- 8,748
- 15,681
Majina ya Ali kiba na Diamond siyo mageni sana masikioni mwangu hawa jamaa, ngoja nichukue mda wa kuwafahamu ni akina nani hasa hawa watu?Tujuze pia tusio na team WANASHINDANISHWA KWA LIPI?
1-Fedha
2-utanashati
3- muziki
4- mashabiki
5- msaada.
Sisi walevi Mungu anatuona, yaani upo tayari kumpiga Balimi za hata elf30, lakini akija PM kukupa namba za tigo pesa umrushie hata Mwekundu akakandamize Wali Sato utampiga chiniWell said mkuu.... ningekuwa karibu na wewe ungekula balimi za kutosha....
Leo hii hata harmonize na rayvan nina uhakika wakijitoa wcb bado wataendelea kuwa wanamziki wazuri tu. Kuna vingi vilisababisha saida kushindwa kuendelea kimziki kwa muda na alielezea.Ukikijua kilichompataga saida kalori Kwa muta. Utawahurumia hao madogo Kwa mondi
invest what you are willing to lose
Ukijibiwa niiteTujuze pia tusio na team WANASHINDANISHWA KWA LIPI?
1-Fedha
2-utanashati
3- muziki
4- mashabiki
5- msaada.
Nothing to add mkuuHii vita haitakaa ipate mshindi kwa sababu moja tu: utofauti.
Nikijaribu kuwa open minded, nashindwa kabisa kuwashindanisha; kwa sababu kwa utaalam wangu mdogo wa muziki, hawa jamaa wapo tofauti sana.
Em tuwe serious, hizi nyimbo mbili utazishindanishia kwenye criteria gani. Kwa maana, kuanzia theme, tempo, genre ni tofauti.
Ukiacha hizo nyimbo, yaan sijawahi kuona mmoja anapita mulemule anavyofanya mwingine.
Jamani eeehh, hawafanani. Mi nadhani hii vita ni yetu mashabiki.
Angeshindanishwa labda ray vanny na diamond, ingekuwa atleast, i mean they basically compose and sing the same way. Sasa nikija kwa ali kiba, anaweza kuandika wimbo mistari sita bila beat na ukawa unagusa. Hapo sasa ndo najiuliza unamfananishaje na mwenzake anayeimba pop (na sub-genre zake?)
Yaan hapo ni R Kelly vs Chris Brown. Ambapo Chris Brown anatoa hits everyday za popular culture, n you just gonna love em. On the other hand R kelly lines are full of soul. Ingawa anaweza kuwa featured kwenye pop. I can go on and on, but im tired of tryin to explain.
People, these two dudes are different. Nasikiliza huku na-enjoy, nasikiliza huku na-enjoy pia, ingawa wako tofauti.
So, like I said, I dont think this will end unless we just decide to.
Forgive the comment size.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndo hayo wanayopambanishwa nayo?
6-umalaya?Tujuze pia tusio na team WANASHINDANISHWA KWA LIPI?
1-Fedha
2-utanashati
3- muziki
4- mashabiki
5- msaada.
kuna baadhi ya mambo yaliyofanyika kipindi cha nyuma Sasa hivi hayafanyiki tena!
mambo yaliyo fanyika kipindi cha nyuma Sasa hivi hayafanyiki!