BUMIJA
JF-Expert Member
- Oct 19, 2011
- 5,950
- 11,295
Mimi kama mwanafunzi wa Elimu ya juu toka juzi nimepitia matokeo ya shule nyingi na kutambua kwamba wamefaulu lakini zaidi ya 50%wameangukia division IV. Je ufaulu wa Namna hii una tija kwa wahitimu na matokeo haya yamepambwa kisiasa kuwaridhisha watanzania.Wanaofaidi elimu ni wenye uwezo wanaowapeleka watoto wao Private schools.Kiukweli shule za serikali matokeo ni mabaya mana div0 bado ni tatizo na div IV za mwisho ni nyingi sana.Ni sawa umefaulu ila angalia ufaulu wako je umekukomboa au ni zile faulu za kisiasa.