Huu ndio ukweli Trump kusitisha misaada kwa nnchi maskini

LICHADI

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2015
Posts
4,491
Reaction score
12,560
Jamani mmeongea sana na wengi mmemtukana yule mzee mkisema watu wanaenda kufa ila kuna kitu mmekisahau hasa kauli ya Trump sababu ya kujitoa ilikuwa ni moja tu CHINA CHINA CHINA yaani Trump alikuwa analia na Mchina na hakuanza utawala huu

Ishu ni kwamba Trump ni Bepari na ni Mfanya biashara so Bepari huwa halina msaada wa bure ukiona umepewa maada wa Dawa za sh bilioni 20 basi jua kuna kipande cha Ardhi kashachota madini au Gesi ya Bilioi 100 yeye anakuachia 20 kwa kusema msaada yaani mzungu hanaga cha bure hata siku moja

Kilichotokea kwa Trump hadi kuiondoa Marekani kusaidia Madawa nchi maskini ni baada yakuona Africa now imepata mkoloni mpya ambae ndio hatari zaidi sasa na si mwingine ni MCHINA kwa sasa China ndio anaongoza kuvuna mabilioni ya Dola kupitia biashara ndani ya Africa na nchi nyingine maskini ulimwenguni kote wameigeukia China kama sehem ya kupata Bidhaa kwa bei nafuu maana yake wazungu kwa kiasi kikubwa wameshapoteza maslahi yao Africa Mchina kwa sasa kashasambaa kila sehem hadi mwaka jana Wazungu wakaanza Sera ya kupitia upya ajenda ya kujiimarisha Africa kupambana na mchina ila walishachelewa

Hata hapa Tanzania kwa sasa bidhaa asilimia kubwa tunazoagiza nnje wafanyabiashara wameigeukia China ukiingia kariakoo asilimia 95 ni Made in China, Migodi hadi Misitu huko ya mbao wachina wameshatapakaa wanavuna tu kila mahali wapo

Sasa leo hii mchina ndio awe namba moja kuvuna pesa na Rasilimali za Africa alafu WHO anatoa Dola Milioni 20 tu wakati Mmarekani alikuwa akichangia Dola milioni 400 hivi hata ingekuwa wewe ungeweza?

Inshort Trump anatuma ujumbe tu kuwa chagua kujitegemea mwenyewe au unaekula nae kwa sasa Mchina usaidiane nae la sivyo kila mtu apambane na hali yake

Marekani hawezi akauza Ndege zake F-35 na mabiashara yake mengine kwa nnchi Tajiri kama Qatar,Taiwan,Uturuki,Saudi Avune mabilioni ya Dola alafu aje atoe msaada kwa Africa inayoongoza kwa kuwa na magonjwa yanayotumia dawa za misaada, ambayo kwa sasa mmeigeukia china maana yake mmepewa ujumbe tu China achague kuziba hilo gepu au kila nnchi iongeze pesa

Na china hawezi toa hata sh 100 kifuatacho kila nnchi itapambana na hali yake so ili tusifikie hatua ya kusema Arvs zitapatikana kwa sh 10,000 kwa kopo ni lazima China ibanwe kisawasawa bidhaa zake zipigwe kodi hapo bandarini vitu vya kichina vinapenya hadi unajiuliza kama TRA wanavifaham na utajiuliza vimepitia wapi

Ni muda muafaka sasa Ili kuongeza ajira kwa vijana wetu na mapato tunatakiwa kupiga stop bidhaa nyingi za kichina kwa sharti afungue viwanda hapa zizalishwe ndani vijana wapate kazi maana ajira za uzalishaji tunewaachia wachina vijana wetu now ni mawinga
 
Kwa akili yako ulikuwa unadhani all that time misaada tulikuwa tunapewa BURE bila Marekani kupata chochote in return?

Kwamba Trump alivyokuja ndo aliona misaada ni kitu kibaya?

Hivi umeishia darasa la ngapi wewe?
 
Hakuna cha bure anatumia cha kwako 90%, 10% anakupa anasema msaada
 
Jamani mmeongea sana na wengi mmemtukana yule mzee mkisema watu wanaenda kufa ila kuna kitu mmekisahau hasa kauli ya Trump sababu ya kujitoa ilikuwa ni moja tu CHINA CHINA CHINA yaani Trump alikuwa analia na Mchina na hakuanza utawala huu

Ishu ni kwamba Trump ni Bepari na ni Mfanya biashara so Bepari huwa halina msaada wa bure ukiona umepewa maada wa Dawa za sh bilioni 20 basi jua kuna kipande cha Ardhi kashachota madini au Gesi ya Bilioi 100 yeye anakuachia 20 kwa kusema msaada yaani mzungu hanaga cha bure hata siku moja

Kilichotokea kwa Trump hadi kuiondoa Marekani kusaidia Madawa nchi maskini ni baada yakuona Africa now imepata mkoloni mpya ambae ndio hatari zaidi sasa na si mwingine ni MCHINA kwa sasa China ndio anaongoza kuvuna mabilioni ya Dola kupitia biashara ndani ya Africa na nchi nyingine maskini ulimwenguni kote wameigeukia China kama sehem ya kupata Bidhaa kwa bei nafuu maana yake wazungu kwa kiasi kikubwa wameshapoteza maslahi yao Africa Mchina kwa sasa kashasambaa kila sehem hadi mwaka jana Wazungu wakaanza Sera ya kupitia upya ajenda ya kujiimarisha Africa kupambana na mchina ila walishachelewa

Hata hapa Tanzania kwa sasa bidhaa asilimia kubwa tunazoagiza nnje wafanyabiashara wameigeukia China ukiingia kariakoo asilimia 95 ni Made in China, Migodi hadi Misitu huko ya mbao wachina wameshatapakaa wanavuna tu kila mahali wapo

Sasa leo hii mchina ndio awe namba moja kuvuna pesa na Rasilimali za Africa alafu WHO anatoa Dola Milioni 20 tu wakati Mmarekani alikuwa akichangia Dola milioni 400 hivi hata ingekuwa wewe ungeweza?

Inshort Trump anatuma ujumbe tu kuwa chagua kujitegemea mwenyewe au unaekula nae kwa sasa Mchina usaidiane nae la sivyo kila mtu apambane na hali yake

Marekani hawezi akauza Ndege zake F-35 na mabiashara yake mengine kwa nnchi Tajiri kama Qatar,Taiwan,Uturuki,Saudi Avune mabilioni ya Dola alafu aje atoe msaada kwa Africa inayoongoza kwa kuwa na magonjwa yanayotumia dawa za misaada, ambayo kwa sasa mmeigeukia china maana yake mmepewa ujumbe tu China achague kuziba hilo gepu au kila nnchi iongeze pesa

Na china hawezi toa hata sh 100 kifuatacho kila nnchi itapambana na hali yake so ili tusifikie hatua ya kusema Arvs zitapatikana kwa sh 10,000 kwa kopo ni lazima China ibanwe kisawasawa bidhaa zake zipigwe kodi hapo bandarini vitu vya kichina vinapenya hadi unajiuliza kama TRA wanavifaham na utajiuliza vimepitia wapi

Ni muda muafaka sasa Ili kuongeza ajira kwa vijana wetu na mapato tunatakiwa kupiga stop bidhaa nyingi za kichina kwa sharti afungue viwanda hapa zizalishwe ndani vijana wapate kazi maana ajira za uzalishaji tunewaachia wachina vijana wetu now ni mawinga
Ndo maana halisi ya utakula ulikopeleka mboga! Mimi nikutibie bure kwa ARVs alafu mchina yuko anakamua bure! Ata angewa wewe!
 
Marekani anatoa misaada mingi ila kibiashara amekosa dampo!
Hivyo anatumia nguvu kujihami ili kulinda jina na status yake.
 
Hiyo misaada ni business transaction tu, maana kuna masharti makali sana, haipaswi kuitwa misaada
 
Back
Top Bottom