Huu ndio ukweli Trump kusitisha misaada kwa nnchi maskini

Kwa akili yako ulikuwa unadhani all that time misaada tulikuwa tunapewa BURE bila Marekani kupata chochote in return?

Kwamba Trump alivyokuja ndo aliona misaada ni kitu kibaya?

Hivi umeishia darasa la ngapi wewe?
nimemshangaa sana huyo jamaa
 
Kila mmoja apambane na hali yake.Ukoloni ndio itakuwa umeisha rasmi.Marekani ataacha kuingilia mambo ya watu.
 
Kila mmoja apambane na hali yake.Ukoloni ndio itakuwa umeisha rasmi.Marekani ataacha kuingilia mambo ya watu.
Madhara yake ni catastrophic! Aliyekutangulia kakutangulia na unahitaji msaada wake! Ni kama watoto wakijiona wanajimudu na kujitenga na wazazi! Anachokifanya Trump ni Africa kumletea madharau na kukumbatia Mchina wakati Mchina hana msaada wowote anaoutoa kwa waafrica huku akiendelea kuwanyonya na kupora rasilimali!
 
Kwa akili yako ulikuwa unadhani all that time misaada tulikuwa tunapewa BURE bila Marekani kupata chochote in return?

Kwamba Trump alivyokuja ndo aliona misaada ni kitu kibaya?

Hivi umeishia darasa la ngapi wewe?
Hukumuelewa concept yake
 
Trump ana haki zote,ni nchi yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…