sor jamaa yupo sahihi kabisa zoom uwacopy pest kazi,kuna kazi ya TPDC IT systems analyst check job disc yake afu cheki na hii IT Specialist (15 Posts) Job in Arusha, Tanzania zinafanana kabisa.
Ndugu zangu watafutaji wa ajira, site ya zoom tanzania najua inasumbua wakati mwingine kwa kubandika kazi bila kuwa na contact aina yeyote.ikiwemo mail wala phone numbers na boz zao ni uongo mtupu alafu unakuta imematch fani yako. UFALA HUU SIYO BAHATI MBAYA BALI NI MAKUSUDI ILI WAENGEZE VIEWERS KWENYE WEBSITE YAO. MUNGU AWALAANI WAFANYAO HAYA.!!
Mfano ni huu:
View attachment 57573View attachment 57573
Ipo siku mtanielewa....