HUU NDIO URAFIKI WA KWELI!...muoneni x-pin na hommie wake kaizer enzi zao kule MKUU

Teamo

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2009
Posts
12,271
Reaction score
1,052
vijana wametoka mbali sana.hapa ni kipindi kileeee wanajifunza kunywa mbege mkuu:
attachment.php
 
Attachments

  • 6[1].jpg
    6[1].jpg
    150.5 KB · Views: 359
Hawa kweli si wa kuokotana leo....Hongereni jameni kwa kuanzia enzi hizo za thumuni!
 
Dah! Najuta kukupa fotoalbamu yangu.
Chondechonde usiweke ile niliyopiga na mama matesha.
 
ha ha ha hommie naona umenitwangia raba mtoni!! BTW jana usiku valuu zilizidi nn mbona hukujibu msg!! dah hapa nna hangover ya kufa mtu.....
 
Kaizer nae kavaa chachacha (aka yeboyebo)
 
Hommie we acha tu. Miksa ya serengeti na valuu ilinipeleka kitandani saa mbili na dakika ishirini na saba. Usijaribu hii mpwa, ni hatari kwa afya yako.

Hahaha! Mamushka bana. Hiyo mwenyewe alikuwa anatamba amei-import toka nchi jirani ya Kenya. Enzi hizo tulikuwa tunaziita chachacha. Yeboyebo ni enzi hizi za vijana wa St. Mtakatifu intanesho akademi skuli.
 
.

he he he kwa hiyo hukoana jinsi watoto wa wenger walivyo adhibiwa!! hapo kwenye red he he he he ni sawa na mixer ya Waragi na Nile special!! don't try this at home!!
 
Hivi kumbe hawajatolewa UEFA?
Kama ni hivyo basi Livapuli watakuwa mabingwa.
Ngoja nikazimue kwanza manake naona kama skrini ina vimulimuli. Will be back shortly.
 
Hiyo mwenyewe alikuwa anatamba amei-import toka nchi jirani ya Kenya. Enzi hizo tulikuwa tunaziita chachacha.
Kuna vile viatu kama njumu vya plastic (viliitwa GoGo)....anyone with a pic.
 
Urafiki wao umeanzia mbali, hawakukutana barabarani yakhe!!!!!!
 
Hommie we acha tu. Miksa ya serengeti na valuu ilinipeleka kitandani saa mbili na dakika ishirini na saba. Usijaribu hii mpwa, ni hatari kwa afya yako.

Hahaha! Mamushka bana. Hiyo mwenyewe alikuwa anatamba amei-import toka nchi jirani ya Kenya. Enzi hizo tulikuwa tunaziita chachacha. Yeboyebo ni enzi hizi za vijana wa St. Mtakatifu intanesho akademi skuli.
hhaaaaaa papushka umenikumbusha mbali sana, duh B WA UKWELI HIYO MITOKO ALIKUWA ANADUNDIA ILE MBAYA AFU ANAONEKANA WA MAANA SANA.
 
Hivi kumbe hawajatolewa UEFA?
Kama ni hivyo basi Livapuli watakuwa mabingwa.
Ngoja nikazimue kwanza manake naona kama skrini ina vimulimuli. Will be back shortly.

ha ha ha ni Primier bana sio UEFA....naona ubingwa kwao basi tumebakisha RED devel ku give up tu!!
 
hahaha bila shaka X-pin ndio huyo mwenye yeboyebo ..huo ndo urafiki wa kweli hasa
 
vijana wametoka mbali sana.hapa ni kipindi kileeee wanajifunza kunywa mbege mkuu:
attachment.php

Hifi vitoto fina saga rami baraa! yesu na maria rosa hivi vitoto ni vya msee kimario wa pale Mkuu kwa Makundi.
 
hehehe!eti mzee kimario!HAYA BANA NOTED....
nikipata nauli nitaenda oceanic
 
Kuna vile viatu kama njumu vya plastic (viliitwa GoGo)....anyone with a pic.
Hahahaha! Dah Umenikumbusha mbali sana. Ile kitu ukiitinga na suruwale ya mchelemchele na shati la azaro, vibinti vya Mrike sekandari skuli vinakuwa mali yako ya kudumu!

Urafiki wao umeanzia mbali, hawakukutana barabarani yakhe!!!!!!
Tofauti yetu ni moja tu hivi sasa. Wakati mimi napotezea muda wangu kaunta homeboy wangu muda wake mwingi unaishia gesti hausi!

ndhani umeniambukia hangover.. Kaizer is the one in red? ngoja nikatufute asprin
Njoo nikupe dawa. Hutajuta kunifahamu.

hhaaaaaa papushka umenikumbusha mbali sana, duh B WA UKWELI HIYO MITOKO ALIKUWA ANADUNDIA ILE MBAYA AFU ANAONEKANA WA MAANA SANA.
Hehehe! Kipindi hicho alikuwa anatumikia misa ya pili. Hapo shetani alikuwa hajaingia kwenye ubongo wake. Alikuwa hajui matusi kabisaaaaa!

ha ha ha ni Primier bana sio UEFA....naona ubingwa kwao basi tumebakisha RED devel ku give up tu!!
Nadhani sasa umeona madhara ya miksa ya valuu na serengeti.

hahaha bila shaka X-pin ndio huyo mwenye yeboyebo ..huo ndo urafiki wa kweli hasa
Umekosea kidogo. Hizo raba mtoni aliniletea anko wangu. Alivipora Uganda wakati wa vita dhidi ya Iddi Amin. Ulikuwa umezaliwa wewe?

Hifi vitoto fina saga rami baraa! yesu na maria rosa hivi vitoto ni vya msee kimario wa pale Mkuu kwa Makundi.
Shamesha mmeku! Shamesha bung'a!
 
Back
Top Bottom