Huu ndio ushinani unaofaa wa majirani wenye akili kubwa - Ethiopia launches first satellite into space

Mbona yetu tuli-launch kitambo, tatizo nyie mumelala sana sijui huwa mnakwama wapi...
Japo huwa mnawakilisha vyema kwenye tasnia ya kuruka kwa ungo, cheki hii video mlivyobobea

Usanii huu ndugu yangu.
Hawa waganga wa kienyeji matapeli (fake), hapo wametengeneza tukio wanataka wauze dawa za kinga ya uchawi n.k.
 
Na hawajatawaliwa hao, Kenya Muzungu kawajengea na kuwaachia kila kitu mpaka Choo kazi yao ni kunya tu, lkn bado wanashindwa kutoboa, kazi yao ni kuiba na kubomoa kila kitu alichoacha Muzungu.

Ni muda mrefu tukuone kwenye huu uhalsia wako, huwa unajaribu kubadilika kisha unaangukia pua, leo sindano imekugusa pabaya....hehehe
 
Ila Ethiopia imezidi kwakweli. Hata wananchi wake wamekondeanaa? Njaaaa!

Lazima mkione cha moto ndio nchi itoke, ndio tatizo analopata rais Magufuli kwa wabongo, mlizoea mdebwedo na kuvimbiwa ubwabwa, sasa kila akijaribu kuwapelekesha ili nchi itoke, mnamnunia.
Amewatumbua miaka hiyo michache hadi kazeeka zaidi, nilimtazama kwenye video ya juzi Mwanza ina tofauti kubwa sana na ile ya kampeni za 2015.
Ndio hicho hicho wanachopitia Ethiopia, mwendo wa kupelekeshwa hadi wanaikimbia nchi.
 
Huyo mama baadae alikiri kuwa alitumwa na mchungaji ajifanye ameanguka ili ionekane mchungaji ana nguvu za kinabii
Mbona yetu tuli-launch kitambo, tatizo nyie mumelala sana sijui huwa mnakwama wapi...
Japo huwa mnawakilisha vyema kwenye tasnia ya kuruka kwa ungo, cheki hii video mlivyobobea

Sent using Jamii Forums mobile app
 
na njaa kama Kenya! Wanahitaji bonde la mpunga zaidi ya kurusha toy space!
 
Jamaa wa 'mwakani Tanzania kuipiku Kenya' zimesalia siku kumi, tunasubiri kwa hamu kuona miujiza maana pengo baina yetu linazidi kuongezeka, tunazidi kuwaacha mbali sana, sasa sijui miujiza ipi mtatenda.
Endelea kubaki hapo hapo 'tumewaacha mbali sana' mpaka tukushike bega hutaamini macho yako
Mchina anachukua bandari ya mombasa hiyo
 
Jamaa wa 'mwakani Tanzania kuipiku Kenya' zimesalia siku kumi, tunasubiri kwa hamu kuona miujiza maana pengo baina yetu linazidi kuongezeka, tunazidi kuwaacha mbali sana, sasa sijui miujiza ipi mtatenda.
Umesikia wazungu wameanza kuhaa kuiondoa tz kwenye nchi masikini zaidi maana hata wao wanaumia kama nyinyi wakenya kuona tz inavyo Fanya mambo mazuri ambayo hata wao mengine hawana, wakenya ule mpango wenu wa kuichochea dunia ili tz iondolewe kwenye unafuu wa kuuza bidhaa ulaya ili iwe kama Kenya ili tukubali EPA maana wakenya wanajidanganya wakizani tukiondolewa kwenye unafuu tuta jiunga na upuuzii wa EPA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamaa wa 'mwakani Tanzania kuipiku Kenya' zimesalia siku kumi, tunasubiri kwa hamu kuona miujiza maana pengo baina yetu linazidi kuongezeka, tunazidi kuwaacha mbali sana, sasa sijui miujiza ipi mtatenda.
Kuhusu mwakani nikumbusheni zimebaki siku ngapi kuingia mwakani ?? Maana kazi ya kuhesabu nimewaachia wakenya ,mwakani mtajua kwanini king kaka kawaita "wajinga nyinyi" na mtajua akukamatwa Kwa sababu ya Tanzania.Serikali yenu imetambua maumivu ya wakenya kuona tz ikiwa great in east Africa Kwa kila kitu .tena wanyama poli wameongezeka Kwa Mara 2 hadi 3 toka komando magufuli kushika nchi ,hadi wanyama Serengeti wanamkubali jiwe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Imekuingia hadi unani-quote mara mbili na makelele yenye maneno mengi yasiyokua na mantiki, mwakani bado siku kumi tuone kama mtaruka kwa ungo. Tunazidi kuwacha kwa turbo mode, nyie ni wale wale tatizo uzembe mwingi halalafu uongozi wa CCM.
 
"Wajinga nyinyi"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
na njaa kama Kenya! Wanahitaji bonde la mpunga zaidi ya kurusha toy space!
Dah! Hizi akili ni za kutamausha kweli. Huna tofauti yeyote na mnasa fuko kule ndaniii kabisa vijijini. Satelite yenyewe itatumika kwenye utafiti, wa kilimo na madini, mabadiliko ya anga, mazingira n.k. Jambo la muhimu sana kwa nchi ambayo huwa inakumbwa na kiangazi na mafuriko ya mara kwa mara. Ndio maana mtazidi kufanya ukulima wa jembe na kungoja mwaka mzima ili nazi na maparachichi yadondoke mkayauze. Wakati mna potential kubwa zaidi ya upuuzi huo wa kizamani. Nchi 38 za Afrika tayari zimerusha satelite! Mpo kwenye ligi ya zaidi ya nchi 15 zilizosalia, nchi ambazo zinaishi kwenye karne ya juzi.
 
swali ni je jiwe naye atarusha satelite yakee??hivi karibuni atarusha angani bonge la satelite kupitia bomba-dia!! si tumeshalikomboa?😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…