G Gideon Mwasabwite Member Joined Sep 10, 2012 Posts 23 Reaction score 8 Sep 19, 2012 #1 Tangu asubuhi nahangaika kutafuta majina ya waliopata mkopo kutoka bodi ya mikopo ya wanafunzi wa elimu ya juu, cha ajabu sioni update yoyote kwenye ukurasa wao. Je kuna njia yoyote wengine mnaitumia kuyapata?
Tangu asubuhi nahangaika kutafuta majina ya waliopata mkopo kutoka bodi ya mikopo ya wanafunzi wa elimu ya juu, cha ajabu sioni update yoyote kwenye ukurasa wao. Je kuna njia yoyote wengine mnaitumia kuyapata?