Huu ndio wakati muafaka wa walimu Tanzania kuinga mkono CHADEMA kuliko kupoteza michango yetu CWT

Muuza Kangala

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2021
Posts
2,268
Reaction score
7,119
Natoa wito kwa walimu Tanzania nzima kujiunga na Chadema na kuchukua kadi na kuichangia Chadema kwa gharama yoyote.

Haina maana walimu kuwa tunakatwa pesa nyingi kuichangia CWT wakati ni kibaraka cha mafisadi wa CCM

Najua kwa uweza wa Mungu mtanisikiliza na kuanzia Jumatatu mtaanza kujiunga na CHADEMA kwa wingi.
 
itakua ni ulofa wa kiwango cha kimataifa gentleman
 
Kama amnufaiki na waloshika Mpini, inawezekanaje mnufaike na walioshika jembe!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…