Huu ndio wakati sahihi wa kuvuna maji ya mvua na uyatumie kwa ajili ya kilimo na mifugo kwa mwaka mzima

Huu ndio wakati sahihi wa kuvuna maji ya mvua na uyatumie kwa ajili ya kilimo na mifugo kwa mwaka mzima

Lasway.Jr

JF-Expert Member
Joined
Jul 25, 2015
Posts
233
Reaction score
413
5ae222ee3302f81e57d11474f4d39b62.jpg

Mtaalam nimerudi tena, naipenda kazi yangu kwa kuwa inagusa maisha ya watu wengi na Furaha kubwa ni pale unapoona utaalamu wako unasaidia wengine

Leo naomba nidokeze kidogo kuhusu uvunaji wa maji ya mvua
Nitaeleza point chacha za muhimu

Kwa nini tunavuna maji ya mvua ?
Kuna maeneo mengi ya nchi Yetu na hata EA yanapata mvua za wastani na sehem nyingine zinapata mvua kubwa kiasi (600mm-1500mm) total annual rainfall wengine watauliza tunaposema mvua ni 700mm au 1200mm maana yake ni nn? (Rain is measured by the depth of water column in the soil) au tunasema mvua imeingia chini ya Ardhi kwa kiasi gani? Ndio maana yake
Kwa hyo mvua hii huja Mara moja kwa mwaka(miezi mitatu ya mwaka) na miezi Mingine yote hakuna mvua kwa hyo ni ngumu kwa wakulima na wafugaji kuweza kumudu kuendesha shughuli zao bila maji kwa kipindi kirefu kwa hyo kuvuna maji ya mvua kutamsaidia Mkulima/mfugaji aweze kufanya Biashara yake(kilimo na Ufugaji) kwa mwaka mzima

Kuna maeneo ambayo ukichimba maji hupati kabsaa , sehem nyingine ukichimba maji unapata maji yenye chumvi au yanakuwa na chemical nying Sana kias kwamba hayafai kwa chochote (nitakuja kuelezea namna ya kutreat maji ya chumvi siku nyingine)
Na sehem hii mvua zinanyesha vzr kabsaa na nyingi lakini kwa kipind kifupi sana , kwa hiyo kuvuna maji ya mvua ndio solution tosha ya kupata maji safi na salama

Karibunii sana 0763347985/0673000103
 
Wewe binafsi unapatikana maeneo gani for consultation mtaalamu? Kwasababu kuna eneo nafanya kilimo Morogoro panaitwa King'wasa naangalia uwezekano wa kupata researcher wa garama nafuu wa kupima location na uwezekano wa kupata maji fresh hapo farm. Mara ya mwisho nilijaribu kuchimba kisima kwa mkono tukapata maji ya chumvi baada ya kama futi Tisa, ila hata baada ya futi kama 30 yalibaki ya chumvi na hayakua mengi.
 
Niko morogoro, take my number and call me, nitakusaidia
 
Sure thing brother. Nimeshachukua mawasiliano yako, nitakutafuta. Wiki ijayo hasahasa. Shukrani.
 
du mkuu maji unayatunzaje ili yasiharibike? , ninajua kuna uvunaji maji lakini sijui ni nini hutumika ili yasihalibike
 
Wewe binafsi unapatikana maeneo gani for consultation mtaalamu? Kwasababu kuna eneo nafanya kilimo Morogoro panaitwa King'wasa naangalia uwezekano wa kupata researcher wa garama nafuu wa kupima location na uwezekano wa kupata maji fresh hapo farm. Mara ya mwisho nilijaribu kuchimba kisima kwa mkono tukapata maji ya chumvi baada ya kama futi Tisa, ila hata baada ya futi kama 30 yalibaki ya chumvi na hayakua mengi.
Niko morogoro, 0763347985
 
Back
Top Bottom