Huu ndiyo Mgawanyo wa Tukio langu la Ijumaa

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Makusanyo ni Shilingi Trilioni 3 za Kibongo

Mgawanyo

Trilioni 1 nimempa Maza
Trilioni 1 nimewapa Waganga wangu Msumbiji, Congo DR na Chunya Kwetu
Milioni 500 nimewapa Wateule wa Mji, Wilaya na Ulinzi
Milioni 500 nimebaki nazo Mwenyewe kama Faida yangu

Na tarehe 31 Desemba 2024 nakuja na Tukio lingine na hili nategemea kukusanya zaidi ya Trilioni 9 kama Mapato.
 
Sasa, mkuu kabla hatujaenda hiyo tarehe 31, mbona hapo bado kuna bilioni 999, hujatuambia zimeenda wapi🤔

Anyway , I'm big fan, endelea kutujuza
 
Kwa Buku buku za watu Trilion 3 uzipate wapi sana sana B moja tena kwa shida
 
Back
Top Bottom