Nyuki Mdogo
JF-Expert Member
- Oct 31, 2021
- 4,134
- 10,644
Kabisa ase, wanadhalilisha sana mama zetu.Hapo anakuwa anawadhalilisha wanawake. Kuna siku nilienda Kariakoo na kukutana na mdoli wa kike wa kuuzia nguo ukiwa mtupi bila kufunikwa. Nilikereka sana.
Hukuupiga picha?Hapo anakuwa anawadhalilisha wanawake. Kuna siku nilienda Kariakoo na kukutana na mdoli wa kike wa kuuzia nguo ukiwa mtupi bila kufunikwa. Nilikereka sana
Ni kosa kisheria.. watu wengi hawajuiHapo anakuwa anawadhalilisha wanawake. Kuna siku nilienda Kariakoo na kukutana na mdoli wa kike wa kuuzia nguo ukiwa mtupi bila kufunikwa. Nilikereka sana.
Dah sasa midoli tu nyie mnaanza kuwaza mambo mengne?
Sheria inasemaje kuhusu hilo?
Mkuu, kumbe ile midoli kuwekwa bila nguo ni kosa kisheria? Kuanzia lini hii mkuu?
Mpaka mshikaji kageuka kuangalia, na huo ni mdoli tu[emoji23][emoji23][emoji28][emoji28]
Dah, ila aliyeuweka huo mdoli hapo naye atafika mbinguni amechoka sana.
Binafsi sijasomea sheria.. lakini najua hilo nadhani ni kama ulivyosema ni udhalilishaji yani kwenye duka akiweka sanamu nnje bila kulivisha nguo.. ni kosa unaweza kushtakiwaSheria inasemaje kuhusu hilo?
Muda mrefu mkuu.. wenye maduka ya nguo wengi wanatambua hiloMkuu, kumbe ile midoli kuwekwa bila nguo ni kosa kisheria? Kuanzia lini hii mkuu?
Mpaka mshikaji kageuka kuangalia, na huo ni mdoli tu[emoji23][emoji23][emoji28][emoji28]
Dah, ila aliyeuweka huo mdoli hapo naye atafika mbinguni amechoka sana.
Pole kwa kupiga puli bila kupenda.Hapo anakuwa anawadhalilisha wanawake. Kuna siku nilienda Kariakoo na kukutana na mdoli wa kike wa kuuzia nguo ukiwa mtupi bila kufunikwa. Nilikereka sana.