Huu ndiyo ukweli, kimaandiko hakuna mzaliwa yeyote wa kwanza aliyepewa urithi wa Baraka na Mali

Huu ndiyo ukweli, kimaandiko hakuna mzaliwa yeyote wa kwanza aliyepewa urithi wa Baraka na Mali

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2020
Posts
3,585
Reaction score
8,106
Wadau hamjamboni nyote?

Nimeleta mada yenye ushahidi kimaandiko.

Hakuna mtoto yeyote aliyekuwa mzaliwa wa kwanza kwa Babaye aliyepata urithi wa Baraka na Mali

Ndiyo Nabii Ibrahimu, Isaka, Yakobo, Yuda, Daudi, Suleiman, Mussa, Efrahim Abel, n.k wote hao hawakuwa wazaliwa wa kwanza ila waririthi Baraka na Mali!

Hata uzao wa Bwana yetu Yesu Kristo haukutikana na mzaliwa wa kwanza!

Naomba upigie mstari Urithi wa Baraka na Mali

Mzaliwa wa kwanza anaweza kufungua milango ya baraka lakini siyo mrirhi mtarajiwa!


Ukiamua kubisha njoo na maandiko kama yapo kweli!


Karibuni tujifunze
 
Back
Top Bottom