Huu ndiyo usajili bora Tanzania mpaka sasa

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
USAJILI BORA MPAKA SASA

Dirisha halijafungwa bado lipo wazi ila mapaka muda huu sajili zote zilizofanyika hapa nchini kwenye klabu zote, bila kupepesa macho, bila unafki huu kwangu ndo usajili Bora uliofanywa na Yanga Africans wa Yao Attohoula [emoji119][emoji736]

Huyu mwamba ana speed

Accuracy in tackling

Kufunga

NB: muda utaongea
 
√√√🙌🙌🙌🙌🙌
 
Huyu mwamba nimemuona mechi tatu za shirikisho sina shaka nae kuhusu uwezo wake, hao wengine ngojea ni tusubiri mechi kama tano tutatoa comments.
 
Nadhani tusubilie kiwanjani,huwa sitoi comment yoyote Kwa mchezaji mpya hadi aprove kiwanjani........nashangaa asubuhi DSM kwenye vijiwe vya magazeti watu wanavimba mishipa Kwa kubishana.......utajikuta unamsifia mtu kumbe ni Sawadogo ajaye
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…