Africa wanalazimishwa ku practise demokrasia ya ulaya bila kuwa na misingi imara kinachofuatia ni vurugu mechi anao anao....
We have our own democracy lets find a good way kupatia wananchi maendeleo...

Wagiriki W aliona mbali sana kugundua demokrasia lakini tatizo bado effects za ukoloni zinatuumiza. Nchi nyingi za Afrika zinaishi kwa kauli ya ndiyo mzee.
Kichwa cha habari kibovu.
pamoja na yote kila watu na asili yao. Mabeberu wametuletea mfumo wa kumwaga damu zetu. Democracy africa sio asili yetu na hatuiwezi.