Huu ndiyo wimbo wa Taifa la Zanzibar

Huu ndiyo wimbo wa Taifa la Zanzibar

Isije ikawa miongoni mwa ' unofficial national Anthem' kama ule wa Scotland unaitwa ' Flower of Scotland'. Huimbwa kwenye afla mbalimbali lakini siyo wimbo rasmi. Unaweza kumuita wimbo wa kizalendo.
 
Nimeusikiliza leo kwa mara ya kwanza, lakini sijaufaidi vilivyo kwa sababu siyajui maneno yake.

Tafadhali anayeyafahamu anisaidie.

Asante.
Haya yote ni matokeo hasi ya kuwa na Katiba ya nchi isiyofaa na mbaya.

Ni ubatili tupu. Je, sasa Rais SSH ni Raia wa nchi ya kigeni ya Zanzibar ambaye anatawala katika nchi ya Tanganyika????
Katiba hii iliyopo kwa hakika inapaswa kubadilishwa haraka sana.
 
Back
Top Bottom