GoldDhahabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2023
- 7,189
- 10,375
🙏🙏🙏Mungu ametubarikia, Unguja na Pemba yote.
Sote tunashangillia, Jamhuri kutuletea.
Mungu ametubarikia, Unguja na Pemba yote.
Hebu acheni kuidogosha nchi ya watu!Wimbo wa mkoa wa Zanzibar
Ukitaka usitake Zanzibar ni nchi na itabakia nchi hata ukachukia vipi .Baba ako wa Taifa kaiacha kama wewe utakavyoiacha babu yako kaiachaaa.Zanzibar foreverrrrr.Tafuta Tanganyika yako shekhee.Wimbo wa mkoa wa Zanzibar
Mbona bendera ya Tanganyika?Nimeusikiliza leo kwa mara ya kwanza, lakini sijaufaidi vilivyo kwa sababu siyajui maneno yake.
Tafadhali anayeyafahamu anisaidie.
Asante.
Ya Tanganyika hii hapaMbona bendera ya Tanganyika?
Haya yote ni matokeo hasi ya kuwa na Katiba ya nchi isiyofaa na mbaya.Nimeusikiliza leo kwa mara ya kwanza, lakini sijaufaidi vilivyo kwa sababu siyajui maneno yake.
Tafadhali anayeyafahamu anisaidie.
Asante.
Wimbo wa mkoa wa Zanzibar