Huu ndo mchezo mgumu kuliko yote Duniani

Hahhaa nimecheka mwenye kijani alikuwa wa kwanza alivyoporomoka hakuamini macho yake [emoji23][emoji23]
 
Uko wapi huo. Nikamchukue ndugu yangu yuko bush. Hajawahi vaaa kiatu. Vidole vya mikono na miguu ka plastik. Magaga mpaka vidole mkono. Akaokote medali hiyo
 
kuna uji wa uterezi wanaumwaga hata uwe na kucha au magaga kiasi gani lazima utereze tu
 
Sio mchezo mgumu kuliko yote ila huu unaradha yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…