Huu ndo mchezo mgumu kuliko yote Duniani

Hawa wachina naona michezo imewaishia ss,, na sijui wamepaka nn hapo chini aisee [emoji23][emoji23][emoji23]


hao siyo wachina ni wajapani. naona huo mchezo unaitwa something kama TOLEZYA HUNTER. Kijapani kina sentensi zingine ambazo huweza kuwa na mchnagnyiko wa herufi za kichina(kanji) za kijapani(hiragana) na kijapani lakini special for foreign names or words zinaitwa katakana. Kwenye katakana pale kuna hilo neno tolezya hunter. Maneno kabla ya hiyo ni kama wa kwanza kuzunguka sijuii......et.c.
 
Yani ukiwa mbele hutaacha kuwa bingwa wa dunia maana michezo ni mingi mno
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…