Going Concern JF-Expert Member Joined Jul 25, 2011 Posts 1,071 Reaction score 1,212 Aug 30, 2011 #1 Nilishangaa sn mara ya kwanza kujiunga na jf... Mtu anaona sehemu nafasi za kazi thn kwa moyo mkujufu anapost watu waweze kufanya application...! Mungu awazidishie na uwe mfano kwa viongozi wetu waone ni jinsi gn vijana wanamapenzi na nchi yao
Nilishangaa sn mara ya kwanza kujiunga na jf... Mtu anaona sehemu nafasi za kazi thn kwa moyo mkujufu anapost watu waweze kufanya application...! Mungu awazidishie na uwe mfano kwa viongozi wetu waone ni jinsi gn vijana wanamapenzi na nchi yao