Huu ndo muda muafaka wa Tanzania kupata KATIBA MPYA

NAMTUMBA

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2014
Posts
1,939
Reaction score
597
Nimeangalia mwenendo wa masuala mbalimbali katika nchi yetu nimepata jibu moja tu nalo ni "Sasa ndo wakati muafaka wakupata katiba Mpya"

Kuna mengi yanatokea, yanafanywa lakini pamoja na hayo yoote bila katiba mpya Tanzania Mpya itakuwa in hadithi ya kusadikika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…