rikiboy
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 21,952
- 43,265
Huyu jamaa angekuwa Nje hakika angekuwa Billionea saa hizi lakini Kibongo bongo yani haya Majiko atauza kwa bei ya ovyo akati idea yake ni Ubillionea tosha... Sema jamaa noma sana la saba lakini akili za Eisten![emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119] Akipata muongozo mzuri hakika atakuwa na kampuni yake ambayo itamfikisha mbali sana Asiuze tu Idea.